Thursday, April 14, 2011

Wanariadha wa Kenya wabaguliwa



Waandaaji wa mbio za marathon huko Udachi (Nedherlands) wamesema kuwa wanariadha wa Kenya wataambulia zawadi ya Euro 100 tu hata kama watashinda mbio hizo. Wenyeji wa nji hiyo watapata zawadi nono hata kama akiwa wa ngapi kumaliza, alimradi awe ni mdachi wa kwanza kukatiza mstari wa kumalizia.
Sababu? Kila mwaka wakenya wanakuja na kubeba zawadi zote! sasa wamechoka.

Wiki ijayo kuna marathon Boston na London. Sijui kama nao watawaiga wenzao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...