Tuesday, April 12, 2011

Loliondo update

Jana nimekutana na rafiki yangu tuliyepotezana kwa siku nyingi. Kwa kuwa ilikua jioni nilimkaribisha vinywaji vya wazee. Akaniambia kuwa siku hizi hanywi sababu ya kisukari. Ndipo aliponipa hadithi ya Loliondo.

Yeye alienda pamoja na mama yake mzazi, mke wake na mtoto wa dadake. WOTE HAWAJAPONA. Kwa maneno yake amesema hakuwahi kuona mtu aliyepata nafuu pale pale kama inavyosemwa na watu. Kila mtu anasema "watu wanapona" lakini watu hao ni kina nani?

Nina mashaka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...