Monday, May 16, 2011

Maisha bora!


Picha hizi nimezikuta katika blog ya umasikini.blogspot. Kwa kweli zinatia uchungu sana kwa Tanzania ya leo kuwa na hali kama hii




Haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania!

Tujiulize.
Hata kama serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kuwasaidia/kuwaletea watu wake huduma za jamii, sisi wenyewe tunashindwa kuifanya hali iwe bora kidogo kuliko hivi? Mbona kwenye maharusi tunachanga kwa wingi tu. Hawa si ndugu zetu tuliowaacha vijijini tukiwaahidi kuwa mambo yakinyooka mjini tutawasaidia?

Wasalaam

1 comment:

  1. Du! Hii balaa ndugu yangu. V8 moja tu linajenga wodi mzuri nyingi tuu!
    DHAMBI!!!

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...